Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai(Kiongozi wa kambi ya upinzani) Akizindua M4C Dar es salaam kwenye hotel ya Serena iliyopo jiji Dar es salaam.
Mwanakamati wa M4C akitoa mambo muhimu yaliyopelekea kuzindua M4C Dar es salaam, Mwanadada huyu ni Mwanasheria wa kujitegemea.
Mwenyekiti Mhe Mbowe akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari kwenye Uzinduzi wa M4C Dar es salaam, ni miezi kazaa sasa toka M4C hii ifanyike.
Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema, Ni mmoja kati ya watu waliyofanikisha jambo hili la kihistoria jijini hapa, Alikuwa mstari wa mbele toka mwanzo wa wazo mpaka Shughuli ikafanikiwa kufanyika.
Moja ya Wanakamati wakiwa kwenye picha ya Pamoja, Hawa walihakikisha watu wote wanajiandikisha kwenye kadi maalum za kuchangia chama.
Jokate $ Sinta Wakisalimiana na Mwenyekiti baada ya Hutuba yake kali yenye Kuuamsha UMMA utambue wajibu wake kwenye Taifa lao.
M4C Dar es salaam, We have the power... join us.... Yes we can.........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment