Dr. Slaa
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amewapokea wazee waliyotelekezwa na serikali ya ccm kwa kipindi chote walichokuwa wakidai madai yao kutokana na jasho lao, Katibu mkuu huyo alisema uonevu huu unaenda kufikia mwisho, ila ukimya wa Watanzania ndiyo Umelifanya Taifa kuwa hivi.. Ila msife moyo tuendeleeni kushirikiana kuzidai haki zenu tutazipata tu.


No comments:
Post a Comment