PICHA ZA HALI TETE IRINGA MJINI…POLISI NA WAMACHINGA
Barabara ilivyokuwa imefungwa na wananchi huko Iringa
Wafanyabiashara alimaarufu kama Machinga wakisukuma Gari la Mbunge wao Mchungaji Peter Msigwa Iringa mjini leo kabla ya polisi hawajafetua mabomu ya machaozi.
No comments:
Post a Comment