Kwa kipindi kirefu kipindi cha 'Wanawake Live' kilisimama kutokana na sababu binafsi za uzazi na sasa kipindi kimerejea kwa kasi kubwa chini ya yuleyule 'Superwoman' Joyce :)
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha jitihada tofauti tofauti za Joyce Kiria katika kufanikisha kipindi hicho kinarejea kwa kasi kubwa....
 |
| Hapa akiwa katika kipindi cha 'FNL' alipoenda kuitambulisha nyimbo mpya ya Wanawake Live kwa ajili ya msimu huo mpya wa 3. |
 |
| Ndani ya Super Mix na Irene Tilya alipoenda kuupaisha msimu wa 3 pamoja na kuwapa wananchi fursa ya kujua nini kipya ndani ya msimu huo. |
 |
| Ndani ya eNews kasi ya kuitangaza ikiendelea. |
 |
| Ndani ya studio za EATV wakati wa kipindi cha Hot Mix. |
|
No comments:
Post a Comment