Baada ya Rais Kikwete kutoa hutuba ndani ya bunge maalum la katiba, Hutuba hiyo imezua sintofahamu nyingi kutoka kwa wanasiasa na hata kwa wananchi wa kawaida. hawa wafuatao ni baadhi ya wanasiasa waliyoichambua hutuba ya Rais kabla na baada.
SHY-ROSE BHANJI(MBUNGE WA BUNGE LA AFRICA MASHARIKI
As a Citizen & Patriot of my Motherland Tanzania, I give due respect to the opinions of all Tanzanians on the current Constitution review.
Much as convictions and beliefs of President JK (2govts) and Judge Warioba (3govts) are divergent, I will support the popular decision thru the coming National referendum.
However, for now, my stand is for 3 Governments because of the following:
1. The life-span and relevance of the two-tier Govts has reached its end.
2. Complaints/grievances on Union issues have not been solved for mutual benefit.
3. A 3tier govt is the ultimate solution given the 2 reasons above. And to me this an evolution of the reality...
Kama Mtanzania na Mzalendo, ninaheshimu mtazamo/mawazo ya Watanzania wote.
Licha ya kwamba mawazo ya Rais JK (Serikali 2) na Jaji Warioba (Serikali 3) yametofautiana, binafsi nitaunga mkono hoja/msimamo wa wengi kupitia kura za maoni za kitaifa.
Hata hivyo kwa sasa bado ninaunga mkono muundo wa Serikali 3 kwasababu zifuatazo:
1. Mfumo wa Serikali 2 unaonekana kufikia kikomo na kutokuwa na umuhimu tena baada ya miaka 50 ya uhai wake.
2. Kero za Muungano zimeshindwa kupata suluhisho/muafaka kwa manufaa ya wote.
3. Muundo wa Serikali 3 ndio jawabu pekee kwasababu nilizotoa hapo juu. Na kwangu mimi hatua hii ni muendelezo wa hali halisi...

HENRY KILEWO
KATIBU WA CHADEMA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM
Hii ilikuwa kabla ya Rais, Mjadala huu aliyouanzisha ulizua mabishano makali sana kwenye ukurasa wake wa Facebook kutoka kwa wadau mbalimbali na wengine ambao waliwahi kuwa mawaziri.....
USALA WA TAIFA KUIBUA HOFU KWENYE VYOMBO VYA HABARI KESHO.
Mpango kabambe ulio sukwa na UWT kwa kuyatumia magazeti matatu kesho umesukwa na frontpage za magazeti hayo kesho zitakuwa na habari mbili kuu.
1. Hotuba ya Jk
2. Hotuba ya Warioba.
1. Hotuba ya jk
Hii imeundiwa zengwe kuwa ndio itakuwa hotuba bora kuliko ya warioba, wabunge wa ccm na wale wa makundi mengine wanaounga mkono ccm wamepangwa kushangalia sana wakati jk akiwasilisha hasa kuhusu hoja ya serikali 3. Hofu atahengwa kwenye magazeti hayo niliyotaja kuwa nia ya warioba na tume ni kuondoa umoja wa kitaifa uliopo na hatimae kuvunja muungano.
Wazinzibar waishio bara na wale wa bara waishio visiwani wameshajazwa hofu hii kuwa watapoteza kila kitu walicho chuma.
2. Hotuba ya mzee warioba.
Pamoja na kwamba ukweli wa hoja ulionekana kwenye wasilisho la mzee warioba,kesho zitaibua propaganda kuwa hotuba yake haikujali gharama za serikali 3 na tunu ya muungano ambayo kupitia serikali 3 unakwenda kufa. Kumbukeni kuwa kazi ya rais si kwenda kuhutubia bunge kwa kujibu hoja za Warioba bali kulifungua bunge maalumu, chanzo cha uhakika kinasema hatazindua tu bunge lakini atagusa baadhi ya hoja ambazo kimsingi ccm kama chama kinazisimamia kwa nguvu zao zote. Tayari kuna uhakika kuwa sehemu ya hotuba yake imegusa kwa kiasi kikubwa swala la muungano na serikali mbili.

BAADA YA HUTUBA YA JK.
Pole Watanzania, maana wahenga wanasema kibovu huja na kibovu, kimsingi sikutegemee hutuba nzuri ya kiuongozi bali nilitegemea hutuba mbovu kwa aina ya anayehutubia.
Kimsingi kiongozi mbovu huongea hutuba mbovu na ndicho kilichotokea, kwa maana hiyo kwa hali halisi mliyoiona msitegemee katiba ya wananchi.
Kwani tayari na mahesabu wamekwisha fanya yakuwa ilinserikali 2 zipite wanahitaji wajumbe 16 kutoka zanzibar, huku akinanga maoni ya wananchi ya serikali 3 ili yapite yanahitaji wajumbe 80 kutoka zanzibar kuyaunga mkono.
Kwa maana nyingi wanaweza kununua hawo wajumbe 16 ili kutimiza matakwa yao ya serikali2
Hofu kubwa ya chama tawala ni kuondoka madarakani iwapo kutapatikanika serikali 3 na kama mnavyofahamu ccm haijawahi kuishinda cuf zanzibar na huwo ndiyo ukweli, Na hofu nyingine ni ccm kufa, yaani ASP Itarudi kwa upande wa Zanzibar na Tanu kwa upande wa Tanganyika, so hapa ccm wanaangalia maslahi ya chama chao na siyo nchi.
Ila hatutakubali kupitishwa kwa katiba ya ccm bali katiba ya wananchi waliyopendekeza, ikishindikana ni bora kurudi bila katiba mpaka hapo tutakapo pata serikali makini itakayoweza kusimamia mchakato huwo.
Kwa wale ambao hamkupitia post yangu ya jana naomba mrejee nilichopost, pili Nchimbi aliniita mimi ni muogo ila leo yeye ndiye kawa muongo kwa wale mliyokuwa mnafuatilia.
Hongera Warioba ulitoa hutuba ya kiuongozi na Kimamlaka kuliko hii ya vijembe na ngonjera, Nina uhakika Watanzania tuliyowengi tupo nyuma yako pamoja na tume yako kusimamia walichotaka Watanzania, Ikishindikana wakataka kulazimisha kuipata katiba waitakayo ccm njia zipo nyingi za kudai katiba ya Wananchi.
WATAKAO PONDA TUTAENDELEA KUWAELIMISHA NA KUWA NAO KITU KIMOJA SIKU MOJA.
HOTUBA YA RAIS NAISIKILIZA NAPATA HOMA, INANISIHI KULIA NA KUNIPA MAUMIVU YA TANZ TUITAKAYO WANANCHI & WAITAKAYO VIONGOZI:
Kama Kiongozi ameona hoja mama ni Muungano wa Serikali.
Muhimu ni kuzingatia na kuhakikisha tunapata Muungano bora unaotakwa na wananchi na si Viongozi wa upande mmoja. Ikishindikana hapo iwe ruksa kwa watz kuitafuta Katiba waitakayo na wenye Imani nayo kwa nguvu ya sauti yao na si kwa njia ya sauti ya viongozi wa upande mmja kuwasemea. Inawezekana watanzania tukiamua, Viongozi waache masihara.
“Haya ni maneno yangu na Bunge hl ndo lenye maamuzi” yatakuwaje maamuzi ya Bunge ikiwa miongoni mwa wajumbe kuna mkakati maalum wa kichama kila kukicha. Na wewe upo upande huo!
Nikizaliwa simjui baba hainizuii kumtafuta na kumjua baba yng mzazi..Nimezaliwa nje ya Tanganyika lkn hainizuii kuitafuta Tanganyika.. Kutumia hoja ya tuliozaliwa miaka 64 na kuendelea tusitafute Tang ni point lesss.
Ni kweli kutunga Katiba ni suala zito na kubwa sana nakubaliana na wewe Kiongozi. Maneno haya naya dediketi kwa wajumbe wa CCM sana sana kwa kuwa naona yanawahusu.
Huu haukuwa uzinduzi bali darasa la kubadili upepo wa Jaji J. S. WARIOBA. Mh Warioba aliyoyazungumza hayakuwa maneno yk binafsi au Tume bali yalikuwa maneno, mawazo na msimamo wa wananchi ambapo nguvu ya kukusanya maoni aliipata baada ya wewe kumuamini na kumteua kuwa Mwenyekiti wa Tume. Swali lng ni Je, uliyozungumza wewe ni maneno na msimamo wa nani?? Je kabla ujaja kuzungumza na wajumbe hukupata nafasi ya kuzungumza na wabunge wa CCM? Na kama ulikutana nao mlipanga nn?
Wakati ukianza kuhutubia niliamini unaanza kwa nasaha na ujumbe mwema. Mwishoni nikagundua unapinga maoni ya wananchi yaliyowasilishwa na Warioba na kujibu hoja za Warioba ukisahau ni maoni ya wananchi na kudhani ni msimamo wa Jaji mstaafu S. WARIOBA. Ktk hilo tumepoteza mabilioni ya pesa ktk mchakato unaominywa ukweli na usahihi na baadhi ya wajumbe wa chama fulani.
Katika hili mmeonyesha dharau kwa Mtu mzito na mwenye historia ya Awamu nzito ya kwanza JAJI J. S. WARIOBA. NA HAKIKA HATA NYERERE ANGEKUWEPO ASINGEPENDEZWA KWA KUWA ALIKUWA MUUMINI WA MATAKWA YA WANANCHI NA MABADILIKO

No comments:
Post a Comment