Sikujua km kuwa mbowe ktk siasa za TZ ni shida sana..Mbowe anapakwa matopwe sana..na mara nyingi kupakwa matope na watu walewale na kuliliwa ktk mambo yaleyale ila kwa pande mbili..Mbowe anaweza lalamikiwa kwa kuambiwa kuwa ni dj ,hajasoma,sijui ndie mwenye chama etc..ila yeye tena akalaumiwa kuwa hawakanyi watu..yeye pia akalumiwa kwani hakuomba mwongozo bungeni wa kulinusu bunge...mbowe huyo huyo analaumiwa kwa CDM kufuata na kuamini Sera za Majimbo ....ila yeye Leo analaumiwa kwa kutotoa Documents ili CCM watumie ktk maendeleo,yeye analaumiwa kuwa anajua siri ya Serikali iliyo bora sana ila hatoi hayo material....Mbowe yeye analaumiwa kwa kuwa mwenyeketi,....na yeye ndio anayelaumiwa kila upande..kwa staili inayoonyesha umuhimu wake si kwa chama tuu ila kwa umoja wa kitaifa na mafanikio ya taifa.
Chanzo cha habari ni www.jamiiforums.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment