Katika mitaa ya Dodoma kwenye Bunge maalum la katiba mambo yameanza kupamba moto baada ya Wabunge wanaounda Kundi la Ukawa kuja na Mbinu ya kuvalia Fulana za Tanganyika na Hali hiyo ilitokea.
hawa hapa ni Baadhi ya Wabunge wa Ukawa wakiwa kwenye Fulana za Ukawa pamoja na Katibu wa Chadem kanda maalum ya Dar es salaam bwana Henry Kilewo pamoja na Dr.Michael
Wapili kulia ni Mhe.Ester Matiko, Mchugaji Msigwa pamoja na Mhe.Grace Kiwelu

No comments:
Post a Comment