Social Icons

.

Friday, 30 May 2014

Breaking Newz: Kambi ya upinzani Bungeni ya toka nje ya bunge jioni hii

Breaking Newz: Wabunge wa Kambi Rasmi ya upinzani wakiongozwa na Kamanda Mbowe Wanatoka nje muda huu! CCM Wamejipanga kufunika ufisadi wa ccm....so wanatetea ujinga kwa mgongo wa rea na kupongezana ni aibu kuna uozo Iptl,kuna uozo tpdc ,kuna uozo everywhere.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...