Social Icons

.

Tuesday, 13 May 2014

YERICKO NYERERE AZIMA PROPAGANDA ZA CCM KUTAKA KUSAHAU UWIZI WA BIL 200 KWA UGONJWA WA DENGUA

Nasikitika kuona watz wanacheza ngoma ya Dengue kama walivyocheza ngoma ya Kikombe. Yericko Nyerere 12:22 Today Nilipoona ile ripoti inayoonyesha Tanzania ni moja ya nchi kumbi zenye IQ ndogo kabisa duniani, nilidhani ni hila tu za magharibi, Lakini nilijifunza kuwa Kiongozi wa nchi ndiye hubeba taswira na aina ya watu wa taifa analoliongoza, Ikiwa taifa litampata kiongozi mpole basi nje ya taifa lake ataakisi upole wa watu wake, Wakati ulaghai wa kikombe cha Ambilikile Mwaisapile kinaibuka, taifa lilikuwa kwenye mtafaruku wa kisiasa hasa madai ya katiba mpya na ufisadi mkubwa uliokuwa umeligubika genge la ccm na serikali yake, Kweli harambee ya serikali ilifanikiwa kuhamisha akili za Watz wote wakaelekea Loliondo isipokuwa mimi na wenzangu wachache tunaoona kwa jicho la tatu. Leo ccm imebandwa na umma juu ya aina ya muungano wautakao, Umma unataka muungano wa serikali tatu, ccm na genge lake hawataki, wanataka taifa liendelee kutopea kwenye mauaji ya nashehe na mapadre pale Zanzibar, wanataka mfumo wa serikali mbili ulioshindwa kutatua matatizo ya muungano kwa miaka 50, Na zaidi ccm na genge lake wameiba 200b katika akaubti maalumu ya Tanesco iliyopo BOT, hili ni tukio la wizi mkubwa zaidi kuliko ule wa EPA, Lakini katika mkakati uleule wa kuzima kelele za umma, wameibuka na mzimu unaoitwa Dengue, unaotajwa kuwa ni ugongwa unaoambukizwa na mbu kwa lugha ya kikwetu ni 'suguni". Haya ni maajabu ya tz, mbu huyu aibuke kuleta ugonjwa huo katika kipibdi hiki cha vuguvugu la ccm kukosa udhibiti wa nchi??? Mbu huyu mimi nimezaliwa kijijini kwetu namuoba, nimeishi nchi zenye baridi kali kama Urusi kwa miaka zaidi ya kumi nimemuona hasa kwenye mifugo aina ya kondoo wa sufi kule Kivey, Nimeidmshi Uchina kwa miaka kadhaa mbu huyu yupo, na nimeng'atwa hasaa mitaa ya Suki, sijawahi kuona mtu kaugua na kuwa ni ni ugonjwa tishio kama propaganda ya ccm inavyotaka tuamini, Nyumbani kwangu Mbutu Kiganboni hawa mbu ndio tunashinda nao na kulala nao kila kuchapo tangu na tangu, Najiuliza hawa umbu wenye ugonjwa huo wametoka hapa wizara ya afya mtaa wa samora na shabani robert? Inasemwa na inaaminika kuwa Watz ni wajinga na mazezeta kuliko nchi yoyote duniani, hili linajidhihirisha kuona tunatungiwa uongo eti kuna DENGUA, halafu 200b zinaibiwa, na kujaribu kuzima madai ya katiba ya umma inayotaka muungano wa Serikali tatu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...