
Wananchi wa kijiji cha Njia panda Mwanga wakisubiri matokeo hii ilikuwa ni usiku mnene

Kwa mara ya kwanza tokea historia ya ujio ya vyama vingi hakuna chama chochote cha siasa cha upinzani kimewahi kushinda kitongoji ama kijiji kwenye wilaya ya Mwanga, Historia hiyo imeweza kuvunjwa Rasmi na chama cha Chadema( Ukawa) kwa kuweza kuchukua vijiji pamoja na vitongoji vile vile kuweza kuweka wajumbe wa halmashauri za vijiji kwenye wilaya nzima.
Hili ni funzo kwa chama tawala tunapoelekea 2015, uhakika wa chadema kuchukua jimbo hilo ni mkubwa sana.
No comments:
Post a Comment