Social Icons

.

Saturday, 19 April 2014

RIZ 1 AMSHAMBULIA LOWASSA

RZ1 AMSHAMBULIA LOWASSA RZ1 Jakaya Mrisho Kikwete, amemshambulia Edward Lowassa na kumuita mlevi na kamwe hataweza kuwa rais wa Tanzania baada ya baba yake, Jakaya Kikwete. Katika mazungumzo yake kwa njia ya Whatsapp kati yake na Jerry Slaa, meya wa Manispaa ya Ilala, Ridhiwani anarejea kauli yake ya miaka mingi kwamba, "Lowassa akiingia Ikulu, mimi nitahama nchi."Ukifuatilia kwa makini maelezo haya, utaweza kubaini mapema kuwa Lowassa anapigwa vita na Kikwete mwenyewe; Ridhiwani ni zumari la Kikwete katika mapambano kati ya Lowassa na yeye.RZ1 anafika mbali zaidi kwa kusema, mgogoro kati ya Zitto Kabwe na chama chake, umesababisha na Mwigulu kupandikiza watu wao ndani ya chama hicho. Kutokana na umuhimu wa hiki ambacho amekieleza, nimeona ni vema niweke hapa MF ili watu wajadili. Chanzo cha habari hii www.mwanahalisiforum.com

1 comment:

  1. HUYO RIZIWANI NI NANI KATIKA SIASA ZA TANZANIA? YEYE NI NANI MPAKA ASEME LOWASA HAWEZI KUWA RAIS...SASA MWAKA HUU LOWASA NDIYE RAIS...TUTAONA KAMA ATAHAMA NCHI

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...